CA's

About our Ministry

Jina la Idara ni Tanzania Assemblies of God - Christ's Ambassadors (CA's); Yaani ikiwa na maana ya Vijana mabalozi wa Kristo.'Kimsingi ni Idara ya Vijana'.

schedule

Meeting Schedule

Thursday, 5:00 PM

visibility

Our Vision

Maono ya Idara ya Vijana ni kua na Vijana:- 1: Walio jaa Roho mtakatifu kikamilifu. 2: Walio hamasika kihuduma. 3: Wenye mzigo na uwezo wa kuvuna roho zilizopotea kwa ufanisi mkubwa. 4: Kua na viongozi waaminifu na wawajibikaji katika ngazi zote.

flag

Our Mission

dara ya Vijana wajumbe wa Kristo kwaajili ya: - Kuhamasisha vijana. Kuunganisha Vijana. Kulea vijana katika malezi bora. Kupandikiza vijana Mzigo na Maono ya; - 1: Kuabudu kwa hiari yao baada ya kufundishwa umuhimu wa kumuabudu MUNGU. 2: Kutumika kwa bidii na viwango vya juu.

CA's

face Ministry Core Leaders

"Mch. Jonathan Ndanshau"