Matangazo ya Kanisa   11 – 17 MEI 2026
arrow_back All Announcements
weekly push_pin Pinned

Matangazo ya Kanisa 11 – 17 MEI 2026

calendar_today May 08, 2026 person Super Admin
picture_as_pdf

Attachment Available

qYMSeKalDeIrY835BNlBhydtzUbmKAz7Rx3hRYsA.pdf

download Download PDF
VIONGOZI WA ZAMU 
 11 –17 MEI 2026 

MCHUNGAJI REV. WITNESS SWAI 0629 534 530 

MZEE WA KANISA: MRS. THERESIA MWABUSILA 

WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 17/05/2026: 

MR. JOSEPH MAMUYA 
MRS. NATUJWA WINZAH 
MRS. THERESIA MWABUSILA 

MASHEMASI WA ZAMU: 
MR. CASTORY KUTIKA 
MR. CLEMENT ZONGELA 
MR. DAIMA LYOVA 
MISS. DORAH MREMA 

ZAMU ZA WATENDAJI 

Watendaji wote wa kundi la YERIKO mtakuwa zamu ya mfungo na maombi siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 16/05/2026. Watendaji wote waliopo maeneo ya Mch Bryson Kitoi, Mrs Natujwa Winzah, Mr. Mathias Msangi na Dr. Christian Mollel. 

TANGAZO 

Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi SEMINA YA UAMSHO KWA KANISA ZIMA Kutakuwa na semina ya uamsho kuanzia tarehe 24 – 31 Mei 2026.Kila mshirika ajiandae kuinuliwa kiroho, kiuchumi, kibiashara kupitia semina hiyo. Kwaya zote , Praise team pamoja na kamati ya maombi zijiandae. 

SEMINA YA UAMSHO KWA KANISA ZIMA 

Kutakuwa na semina ya uamsho kuanzia tarehe 24 – 31 Mei 2026.Kila mshirika ajiandae kuinuliwa kiroho, kiuchumi, kibiashara kupitia semina hiyo. Kwaya zote , Praise team pamoja na kamati ya maombi zijiandae. 

MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI 

1.Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendelee, mwisho wa kuchangia awamu hii ni mwezi Januari 2026. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako. 

2.Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba: 
 015 0020374000 CRDB BANK. Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU 

HIMIZO LA MIKESHA 

Kila mshirika anahimizwa kujitahidi sana kuhudhuria mikesha yote siku ya Jumane saa 3:30 usiku hadi 8:00 usiku na siku ya Ijumaa saa 4:00 usiku hadi saa 10:00 Alfajiri. Ukishindwa kuhudhuria mikesha yote, chagua mkesha mmoja.Kukesha na kuomba ni Agizo la Bwana mwenyewe; Hivyo, kila mshirika ajitahidi kutii. Kesha kipindi cha Amani na furaha ili Amani iendelee kudumu kuliko kukesha baada ya Amani kutoweka. 

MAOMBI YA MNYORORO KUOMBEA AFYA YA MCHUNGAJI KIONGOZI 

Kuanzia kesho Jumatatu tarehe 11 Mei 2026 hadi Jumapili ya tarehe 17 Mei 2026, maeneo yafuatayo yatasimama katika zamu ya kuomba kwa ajili ya Mchungaji Kiongozi: Jumatatu– uzee wa Mr. Alfa Byamungu Jumanne– uzee wa Mr.P.Tarimo&Mrs Winzah Jumatano– uzee wa Mrs. Rhoda Bundara Alhamis– uzee wa Dr. Christian Mollel Ijumaa-uzee wa Mrs. Theresia Mwabusila Jumamosi– uzee wa Dr. Yotham Mackenzie Jumapili– uzee wa Mr.Mathias Msangi