Sadaka
Utoaji

Shiriki
Kazi ya Mungu.

"Mheshimu Bwana kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote. - Mithali 3:9"

Zaka na
Sadaka

Tunaamini kwamba kutoa ni tendo muhimu la ibada. Ukarimu wako hutuwezesha kuendelea kueneza Injili, kuisaidia jamii yetu, na kuujenga ufalme wa Mungu hapa Kinondoni na kwingineko.

favorite

"Kila mtu na atoe kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni wala kwa kulazimishwa, maana Mungu humpenda atoaye kwa moyo wa furaha."

account_balance Akaunti za Kanisa

CRDB

0150020374001

Kinondoni Revival Church

Lipa By MIXX

5210286

TAG Kinondoni Revival Church

credit_card

Toa Haraka kwa Usalama

person
person
mail
call
payments
redeem
account_balance