Matangazo ya Kanisa 08 –14 JUNI 2026
arrow_back All Announcements
weekly

Matangazo ya Kanisa 08 –14 JUNI 2026

calendar_today June 07, 2026 person Super Admin
picture_as_pdf

Attachment Available

CuRYgHKEWpjig2XxBdb9b5O1ZaU2AjsM4YPp165u.pdf

download Download PDF
VIONGOZI WA ZAMU 

 08 –14 JUNI 2026 

MCHUNGAJI 
REV. BRYSON KITOI 0755 641 497 

MZEE WA KANISA: 
MRS NATUJWA WINZAH 

WAZEE NA MAKATIBU WAO WATAKAOKU WA ZAMU, KUABUDU IBADA ZOTE MBILI SIKU YA JUMAPILI IJAYO TAREHE 14/06/2026: 

MR. ALFA BYAMUNGU 
DR. CHRISTIAN MOLLEL 
MRS. THERESIA MWABUSILA 

MASHEMASI WA ZAMU: 
MRS. JENIPHER NTAMBALA
 MRS. JESTINA ACHIO 
MR. JOACHIM KIMARIO 
MRS. JOYCE MONDI 

MATANGAZO 
Wazee wote wenye mitaa mnahimziwa kutembelea vituo vyenu vya HBCF ili kujua maendeleo ya vituo hivyo na kuviimarisha, wakisaidiana na makatibu pamoja na mashemasi. 

Kutakuwa na Ibada ya shukrani ya nusu mwaka pamoja na Ushirika wa meza ya Bwana tarehe 28.06.2026. Washirika wote tujiandae na ibada hiyo yenye baraka. 

Mchungaji kiongozi anakumbusha tena kuwa vijana ambao wako kwenye mahusiano ya uchumba wasikae zaidi ya miezi mitatu bila kuonana na Mch. Dickson Mkoka pia wajitambulishe kwenye kamati ya kushauri chumba na kuhudhuria kwenye vikao vya chumba. 

MICHANGO YA FEDHA ZA UJENZI 

1.Kwa neema ya Mungu ujenzi wa kanisa letu unaendelea, hivyo unatiwa moyo wewe uliye ahidi mchango wa ujenzi kwa awamu hii ya sita B kutoa au kupunguza ahadi yako ili kazi ya ujenzi iendele. Kumjengea Mungu nyumba ya ibada ni baraka kwako na kwa vizazi vyako. 

2.Unaweza kutuma mchango wako kwenda namba: 
 015 0020374000 CRDB BANK. Jina: KINONDONI REVIVAL CHURCH 
PAA LA KANISA, MUUJIZA WANGU

TANGAZO IDARA YA WATOTO 
Tarehe 12.06.2026 : Mkesha wa kusifu na kuabudu, maombi na kuonyesha vipaji vya watoto na maombi ya ujazo wa Roho Mtakatifu. Mzazi njoo tuwaombee watoto wetu chai na maandazi vitakuwepo 

Tarehe 15– 21 Juni 2026 wiki ya Idara ya watoto na wanafunzi, kutakuwa na makambi hapa kanisani kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni 

Ibada ya Jumatano na Ijumaa (HBCF) zitaon gozwa na Idara ya watoto.Njoo na familia yako yote upokee kutoka kwa Bwana. 

Tarehe 20/6/2026 siku ya kuhitimu kambi watoto wote watakuja kanisani kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni, chakula cha mchana kitakuwepo. 

Tarehe 21.06.2026 ni kilele cha sikukuu ya watoto, sare ziko tayari (Tshirt) bei ni Tzs 10,000.

TANGAZO LA NDOA 
Kwa mara ya tatu tunatangaza harusi kati ya kaka Jovin Jonathan Jovitha na dada Emiliana Bruno Kipeto wote ni washirika wa TAG Kinondoni .Harusi itafanyika siku ya Jumapili tarehe 14/06/2026 hapa kanisani TAG Kinondoni.